Diberdayakan oleh Blogger.

PROJECT YA MAPAZIA SITE YA MIKOCHENI...ALL DESIGNED BY FANCY HOME DECOR*

Jumat, 12 September 2014

.Ili pazia lipendeze likae vizuri, nilishonea rings zake direct ndani ya pazia....style hii ni nzuri na ya kisasa...pia pazia linakuwa halichomoki na kuachia...tofauti na ile style ya kuchomekea pazia na hooks kwenye rings za bomba la pazia!#
 
Kwa oda yako #tuwasiliane kwa namba hizi 0712 023102

Bei inategemea na design na size ya dirisha lako.

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

 

Popular Posts