Diberdayakan oleh Blogger.

MAKABATI YA JIKONI .....MBAO YA MKONGO!!

Jumat, 09 Agustus 2013

Fancy Home Decor imeanza kupokea oda za kutengeneza makabati ya jikoni. Tunatumia mbao yoyote kwa kadiri ya matakwa ya mteja wetu, mninga, mkongo, mpodo etc. 
Tutakutengenezea kwa mbao yoyote utakayoitaka na kwa rangi yoyote ile. 
Huduma zetu ni nzuri na bei ni nafuu. 

Makabati haya yalikuwa kwa mteja wangu niliyemfanyia kazi ya Interior decoration. Kama mnavyoyaona ni mazuri na jiko linang'aa na kupendeza. 
Mbao iliyotumika ni mbao ya Mkongo. Counter top iliyotumika ni "marble" counter top.


Ukuta mzima wa jiko uliwekwa Tiles nyeupe, zikachanganywa kidogo na tiles zenye urembo wa maua na zenye picha za vyombo vya jikoni!..makabati ya chini yamewekwa marble countertop pamoja na "skating".





 kabati za juu zimetengenezwa kwa kioo...Mbao ya mkongo ni imara na inang'aa zaidi ikipigwa vanish, inafaa sana kwa wale wanaopenda makabati ya kung'aa kama hivi.


Makabati ya juu ni ya kioo... makabati ya chini yamewekwa marble countertop pamoja na "skating".











Ninaipenda design hii ya kabati la kioo, inakuwa rahisi kuona wapi umeweka nini na kukifikia kwa haraka zaidi kama umesahau wapi umeweka au haujui kimewekwa wapi!!











                                               







Dear visitor, Ikiwa ungependa kutengenezewa makabati kama haya ya jikoni, wasiliana nami kwa namba: +255 0712 023102.

Karibuni

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

 

Popular Posts