Diberdayakan oleh Blogger.

MY PROJECT: CURTAIN POLES, RAILS & HOLDBACKS DESIGNING SITE YA SALASALA

Minggu, 23 Februari 2014

Fancy Home Decor ilipata project ya ku design na kufunga mabomba ya pazia na vishikio vya pembeni vya pazia kutoka kwa mteja wa Mbezi Salasala. Asanteh sana mteja wangu Kwa kazi hii uliyonipa.

Fancy Home Decor inatengeneza kwa oda na kwa bei nafuu. 

Call or WhatsApp # 0712 023102. 

Pia napatikana Instagram, Viber & Telegram. Karibuni.


Tidak ada komentar:

Posting Komentar

 

Popular Posts