Diberdayakan oleh Blogger.

MY PROJECT: GRILL ZA MADIRISHA - BEFORE & AFTER .....SITE YA MASAKI JULY 2013

Senin, 28 Oktober 2013

FancyHomeDecor ilipokea oda ya ku design grills za madirisha na mlango kutoka kwa mdau wa Masaki, ambapo nilitakiwa kuziondoa grills za zamani, ku design na kuweka nyingine za kisasa zaidi...





Design ya Grills tuliyoiweka...


BEFORE ilikuwa hivi....

Tulianza na kuondoa grills za zamani...


Hapa grills za zamani zikiwa tayari zimeshaondolewa...


Ndo tukaweka na kuchapia grill mpya...grills zilipakwa kwanza Red oxide, ndo hiyo nyekundu inayoonekana!

Then tukaipaka rangi nyeusi...



AFTER

Ikapendeza hivi.....baada ya kumaliza kufunga grill.


Bado naendelea kupokea oda za ku design grills za milango na madirisha...ikiwa ungehitaji huduma hii usisite kuwasiliana nami kwa namba: +255 0712 023102

Karibuni sana...

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

 

Popular Posts