Diberdayakan oleh Blogger.

MY PROJECT: METAL CURTAIN RAILS, POLES & HOLDBACKS DESIGNING AND FIXING @ KIMARA

Senin, 23 September 2013

Fancy Home Decor ilipokea oda kutoka kwa mdau ya ku design na ku fix metal curtain rails, curtain poles and curtain holdbacks kwa madirisha ya nyumba nzima kwanzia sebuleni, dining room, Master bedroom na vyumba vingine viwili. Kama mnavyoona ilikuwa bado haijahamiwa. 
Inapendezaa...


Hii ndo Curtain pole design tuliyoiweka...ukiweka double pamoja na holdbacks bei ni 45,000 na kwa madirisha makubwa bei ni 50,000. Garama za kusafirisha na kuja kuzifunga ni bure!!


Hii ndo Curtain holdback design tuliyoiweka...



Hapa ni Living room...madirisha makubwa na madogo yote yamependeza!








Haya ni madirisha ya master bedroom...






Haya ni madirisha ya jikoni...



Hongera sana mdau...Mungu akubariki sana!!

Tidak ada komentar:

Posting Komentar

 

Popular Posts