Kitanda hichi cheupe ni kazi ya Fancy Home Decor*....nili deliver kwa mteja wangu Kijitonyama...na alikipenda sana na kukifurahia sana.
Kitanda hichi ni cha futi 5x6 na pia kinapatikana kwa oda.
Kuweka oda Call or WhatsApp +255 0712 023102
Karibuni sana wapendwa...
Kwa pembeni kwenye angle line tunaweka hizo chuma za kushikilia godoro ili lisisogee...na pia kufanya kitanda kiwe kizuri na kupendeza zaidi. |
........................Asanteh mteja wangu kwa kuipenda kazi yangu.... .....................
Tidak ada komentar:
Posting Komentar